Marselo wa Chalon (alifariki Chalon-sur-Saone, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 hivi) ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wanaoheshimiwa kama watakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Marguerite Sermesse, « Saint-Marcel-lès-Chalon », revue Images de Saône-et-Loire, n. 6, Octobre 1970, pp. 12-13.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.