Masensi wa Poitiers
Masensi wa Poitiers (pia: Maxentius, Maixent; Agde, karne ya 5 - Poitiers, 26 Juni 515) alikuwa abati maarufu kwa maadili mema nchini Ufaransa[1].
Habari zake zimesimuliwa na Gregori wa Tours.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |