Masimo wa Cumae
Masimo wa Cumae (alifariki 303 hivi) alikuwa Mkristo anayekumbukwa kama mfiadini katika mji huo wa kale kwenye Italia Kusini[1].
Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |