Kwa kata nyingine yenye jina hilo, tazama: Masqaroda (Hanang).

Masqaroda ni kata ya Wilaya ya Mbulu Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,080 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,262 waishio humo.[2]

Masqaroda niongoni mwa maeeneo yenye umaarufu wa wa kuwepo kwa wazee wa kimila wenye uwezo mkubwa kiganga katika mambo mbalimbali hasa katika kuvuta na kuzuia mvua, hata kuondoa balaa/nuksi ambayo inaweza ikaleta mtafaruko kabila hili hujulikana kama Manda Do Bayo .Pia masqaro ya mbulu husifika kwa kuwa na shule ya sekondari yenye majengo mazuri yanayovutia na inatoa elimu yenye ufaulu mara kwa mara.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Mbulu Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Bashay | Dinamu | Dongobesh | Endahagichan | Endamilay | Eshkesh | Geterer | Gidhim | Haydarer | Haydom | Labay | Maghang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Tumati | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Masqaroda (Mbulu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.