Mathew David Ryan (alizaliwa 8 Aprili 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Australia na klabu ya Brighton & Hove Albion ya nchini Uingereza.

Mathew akiwa langoni

Mwaka 2013 alijiunga na klabu ya Club Brugge ya nchini Ubelgiji.

Mwaka 2015 alijiunga na klabu ya Valencia ya nchini Hispania.

Mwaka 2017 alihamia klabu ya Brighton & Hove Albion ambayo anaichezea hadi sasa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mathew Ryan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.