Matterhorn

Matterhorn (kwa Kiitalia: Monte Cervino) ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Mlima wa Matterhorn

Urefu wake ni mita 4,477 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit