Mauro wa Cesena, O.S.B. (alifariki 21 Novemba 946) alikuwa mmonaki Mbenedikto, halafu askofu wa mji huo kwa miaka 20.

Mt. Mauro.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Novemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Petro Damiani, Vita sancti Mauri episcopi Caesenatis (Biblioteca Hagiographica Latina, ms. 5771); ([1])
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.