Wilaya Mbeya Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,897 [1]. Wakazi wengi zaidi wa wilaya hii ni Wasafwa na Wamalila.

Mahali pa Mbeya Vijijini (kijani) katika mkoa wa Mbeya.

Utawala Edit

Katika wilaya hii kuna kata zifuatazo:

  Kata za Wilaya ya Mbeya VijijiniMkoa wa Mbeya - Tanzania  

Bonde la Usongwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo (Mbeya vijijini) | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjiro | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule Usongwe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbeya Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.