Mbinga (mji)
Mbinga ni mji katika Mkoa wa Ruvuma nchini Tanzania iliyopata kuwa halmashauri ya pekee mwaka 2015.
Mji huo ulikuwa na kata 20 na wakazi wake walikadiriwa kuwa 140,747 mnamo 2015[1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 158,896 [2].
Mbinga inapitiwa na barabara ya A19 kutoka Songea kwenda Mbamba Bay kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Wenyeji wa Mbinga ni Wamatengo.
Marejeo
hariri- ↑ Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016,Tanzania Bara, tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha na Mipango
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Viungo vya Nje
hariri- Tovuti rasmi]
- Living space Mbinga (tovuti ya kikatoliki) Ilihifadhiwa 7 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
Kata za Wilaya ya Mbinga Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania | ||
---|---|---|
Bethrehemu | Kagugu | Kihungu | Kikolo | Kilimani | Kitanda | Luhuwiko | Lusonga | Luwaita | Masumuni | Matarawe | Mateka | Mbambi | Mbangamao | Mbinga Mjini | Mbinga Mjini B | Mpepai | Myangayanga | Utiri |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbinga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |