Mbinga ni mji katika Mkoa wa Ruvuma nchini Tanzania iliyopata kuwa halmashauri ya pekee mwaka 2015.

Mji huo ulikuwa na kata 20 na wakazi wake walikadiriwa kuwa 140,747 mnamo 2015[1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 158,896 [2].

Mbinga inapitiwa na barabara ya A19 kutoka Songea kwenda Mbamba Bay kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.

Wenyeji wa Mbinga ni Wamatengo.

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Kata za Wilaya ya Mbinga Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Bethrehemu | Kagugu | Kihungu | Kikolo | Kilimani | Kitanda | Luhuwiko | Lusonga | Luwaita | Masumuni | Matarawe | Mateka | Mbambi | Mbangamao | Mbinga Mjini | Mbinga Mjini B | Mpepai | Myangayanga | Utiri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbinga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.