Mbwigu
Mbwigu | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbwigu barabara
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbwigu ni ndege wakubwa kiasi wa familia Laniidae. Wanatokea Afrika, Asia na Ulaya kwa muhimu, spishi mbili tu huzaa huko Amerika ya Kaskazini. Ndege hawa ni mweusi na mweupe kwa kawaida, mara nyingi wana rangi ya kijivu, kahawa na nyekundu pia. Wana domo nene lenye ncha kwa kulabu na spishi nyingi zina mkia mrefu. Hula wadudu na vertebrata wadogo (mijusi, panya, ndege n.k.) na huwa na tabia ya kuwafumia mwiba. Mwiba unafaa kama akiba na ili kushikilia windo wakati mbwigu akichana vipande. Hulijenga tago lao kwa vijiti na nyasi mtini au kichakani. Jike huyataga mayai 3-9.
Spishi
hariri- Corvinella corvina, Mbwigu Domo-njano (Yellow-billed Shrike)
- Eurocephalus anguitimens, Mbwigu Utosi-mweupe Kusi (Southern White-crowned Shrike)
- Eurocephalus rueppelli, Mbwigu Utosi-mweupe Kaskazi (Northern White-crowned Shrike)
- Lanius cabanisi, Mbwigu Kubo (Long-tailed Fiscal)
- Lanius collaris, Mbwigu barabara (Southern Fiscal)
- Lanius collurio, Mbwigu Mgongo-mwekundu (Red-backed Shrike)
- Lanius dorsalis, Mbwigu wa Taita (Taita Fiscal)
- Lanius excubitoroides, Mbwigu Mgongo-kijivu (Grey-backed Fiscal)
- Lanius gubernator, Mbwigu wa Emin (Emin's Shrike)
- Lanius humeralis, Mbwigu Kaskazi (Northern Fiscal)
- Lanius isabellinus, Mbwigu Mkia-mwekundu (Isabelline Shrike)
- Lanius mackinnoni, Mbwigu Mbavu-nyekundu (Mackinnon's Shrike)
- Lanius marwitzi, Mbwigu wa Uhehe (Uhehe Shrike)
- Lanius meridionalis, Mbwigu Kaskazi (Southern Grey Shrike)
- Lanius minor, Mbwigu Mdogo (Lesser Grey Shrike)
- Lanius newtoni, Mbwigu wa Sao Tome (São Tomé Fiscal)
- Lanius nubicus, Mbwigu Nubi (Masked Shrike)
- Lanius senator, Mbwigu Utosi-mwekundu (Woodchat Shrike)
- Lanius somalicus, Mbwigu Somali (Somali Fiscal)
- Lanius souzae, Mbwigu Domo-jekundu (Souza's Shrike)
- Urolestes melanoleucus, Mbwigu Mkia-mrefu au Mbwigu Mweusi-mweupe (Magpie Shrike)
Spishi za mabara mengine
hariri- Lanius bucephalus (Bull-headed Shrike)
- Lanius cristatus (Brown Shrike)
- Lanius collurioides (Burmese Shrike)
- Lanius excubitor (Great Grey Shrike au Northern Shrike)
- Lanius ludovicianus (Loggerhead Shrike)
- Lanius pallidirostris (Steppe Grey Shrike)
- Lanius phoenicuroides (Red-tailed Shrike)
- Lanius schach (Long-tailed Shrike)
- Lanius sphenocercus (Chinese Grey Shrike)
- Lanius tephronotus (Grey-backed Shrike)
- Lanius tigrinus (Tiger Shrike)
- Lanius validirostris (Mountain Shrike au Grey-capped Shrike)
- Lanius vittatus (Bay-backed Shrike)
Picha
hariri-
Mbwigu domo-njano
-
Mbwigu utosi-mweupe kusi
-
Mbwigu utosi-mweupe kaskazi
-
Mbwigu kubo
-
Mbwigu mgongo-mwekundu
-
Mbwigu wa Taita
-
Mbwigu mgongo-kijivu
-
Mbwigu mkia-mwekundu
-
Mbwigu kaskazi
-
Mbwigu mdogo
-
Mbwigu Nubi
-
Mbwigu utosi-mwekundu
-
Mbwigu mweusi-mweupe
-
Nyenje waliofumiwa na mbwigu
-
Bull-headed shrike
-
Brown shrike
-
Great grey shrike
-
Loggerhead shrike
-
Long-tailed shrike
-
Grey-backed shrike
-
Tiger shrike
-
Bay-backed shrike