Melesi wa Sanaklar

Melesi wa Sanaklar alikuwa askofu wa Sebastopoli, Ponto, leo nchini Uturuki, katika karne ya 4. Alikuwa maarufu kwa elimu na zaidi kwa uadilifu wake kama alivyosifiwa na Eusebi wa Kaisarea, Atanasi wa Aleksandria na Bazili Mkuu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 4 Desemba.[2]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.