Melike Pekel (alizaliwa 14 Aprili 1995) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Stade Reims na timu ya taifa ya Uturuki.[1]

Melike Pekel

Marejeo hariri

  1. "Metz: Wieder am Ausgangspunkt". donaukurier.de (kwa Kijerumani). 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melike Pekel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.