Melissa Borjas
Melissa Paola Borjas Pastrana (anajulikana kama Melissa Borjas, alizaliwa 20 Oktoba 1986) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Honduras. Borjas alipata shahada ya fedha katika chuo cha Universidad Nacional Autónoma de Honduras, na amekuwa mwamuzi wa mpira wa miguu tangu 2011. [1]
Borjas, anajulikana zaidi katika vyombo vya habari vya ndani kama Melissa Pastrana, amekua kwenye Orodha ya waamuzi wa Kimataifa wa FIFA tangu 2013. [2]
Mnamo 2015, alikua mwanamke wa kwanza wa Honduras kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake alichezesha mechi kati ya Japan na Ecuador.
Marejeo
hariri- ↑ "Getty Images". Iliwekwa mnamo 11 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ FIFA.com. "Referees in Canada 2015™: MELISSA PAOLA BORJAS - FIFA.com". www.fifa.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melissa Borjas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |