Metras (aliuawa katikati ya karne ya 4) ni mfiadini Mkristo wa Aleksandria (Misri). Aliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[1].

Pengine wanatajwa kama wafiadini wenzake Saturnini, Tirso, Vikta, Tarsisi, Zotiko na Siriaki[2] wakiwa na sikukuu yao tarehe 31 Januari.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Metras kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.