Mfumo wa uzazi ni mfumo wa ogani za kijinsia ndani ya mwili zinazofanya kazi pamoja katika kulenga uzazi wa kijinsia.

Mtoto mchanga wa kangaruu akinyonya titi lililopo katika mfuko wa mbele wa mama yake.

Mbali na ogani hizo, dutu mbalimbali zisizo hai, kama vile viowevu, homoni n.k., ni muhimu katika kukamilisha mfumo wa uzazi na kuuwezesha kufanikiwa.[1]

Tofauti na mifumo mingine mbalimbali ya viumbe hai, mara nyingi jinsia za spishi zenye tofauti za kijinsia zina tofauti muhimu ambazo zinawezesha urithi wa wazazi kuchanganyikana kwa faida ya afya ya watoto.[2]

Tanbihi hariri

  1. Introduction to the Reproductive System. , Epidemiology and End Results (SEER) Program. Archived 24 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
  2. Reproductive System 2001 Archived 22 Oktoba 2006 at the Wayback Machine. Body Guide powered by Adam

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa uzazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.