Jacques Paul Migne
(Elekezwa kutoka Migne)
Jacques Paul Migne (Saint-Flour 25 Oktoba 1800 - Paris 24 Oktoba 1875) alikuwa padri kutoka Ufaransa.
Ni maarufu hasa kwa kukusanya na kuchapisha maandishi ya kale ya mababu wa Kanisa na ya mapapa, pamoja na kuandika mwenyewe vitabu vya teolojia.
Matoleo yake maarufu ni hasa Patrologia Latina na Patrologia Graeca.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Viungo vya nje
hariri- Maisha ya Jacques Paul Migne Archived 5 Julai 2004 at the Wayback Machine. (Kifaransa)
- Catholic Encyclopedia:Jacques-Paul Migne
- Migne Patrologia Graeca: Orodha ya waandishi
- Faulkner University Patristics Project Archived 27 Mei 2009 at the Wayback Machine. (Kiingereza)
- Documenta Catholica Maandishi PDF kutoka Patrologia Latina
- Maandishi katika Google Book Search