Mikhail Kalashnikov
Mikhail Timofeyevich Kalashnikov (kwa Kirusi: Михаи́л Тимофе́евич Кала́шников; 10 Novemba 1919 – 23 Desemba 2013) alikuwa jenerali-luteni wa Umoja wa Kispovyeti, mvumbuzi, mhandisi wa jeshi, mwandishi, na mbunifu wa silaha ndogo. Yeye ni maarufu sana kwa kubuni bunduki ya AK-47 na maboresho yake kama AKM na vile vile bunduki ya PK na RPK (bombomu nyepesi).
Kalashnikov alikuwa, kulingana na yeye mwenyewe, mkufunzi aliyejifundishwa mwenyewe akiunganisha ustadi wa kiufundi na utafiti wa matumizi ya silaha zilizoendelea kupatikana kwenye mapigano ya vita kote duniani.
Ingawa Kalashnikov alisikitishwa na usambazaji wa silaha zake bila kudhibitiwa, alijivunia kuhusu uvumbuzi wake. Alisisitiza kwamba bunduki yake ni "silaha ya utetezi" na "si silaha ya mashambulio".
Viungo vya Nje
hariri- M.T. Kalashnikov Museum and Exhibition Small Arms Complex Ilihifadhiwa 18 Juni 2021 kwenye Wayback Machine.
- 'I sleep soundly' – Interview with and article on Mikhail Kalashnikov at the age of 83, from The Guardian newspaper.
- Mikhail Kalashnikov backs weapons control
- BBC NEWS Profile: Mikhail Kalashnikov
- Free illustrated virtual guided tour of the Museum of Mikhail Kalashnikov Ilihifadhiwa 16 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- The life of Mikhail Kalashnikov Kigezo:In lang
- Mikhail Kalashnikov with Elena Joly: The Gun that Changed the World
- 7,62 мм ручной пулемет М.Т. Калашникова. 1944 г. Ilihifadhiwa 24 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine. Kalashikov model 1944 light machine gun—his 2nd design.
- The Economist: Obituary 11 January 2014 Mikhail Timofeyevich Kalashnikov, weapons inventor, died on 23 December, aged 94
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mikhail Kalashnikov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |