Milima Adirondack ni safu ya milima ya New York (Marekani).

Milima ya Adirondack

Urefu wake katika mlima Marcy unafikia hadi mita 1,629 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Adirondack kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.