Auasberge

(Elekezwa kutoka Milima Auas)

Milima Auas (kwa Kijerumani Auasberge) ni safu ya milima katika nchi ya Namibia (Afrika).

Milima Auas

Urefu wake unafikia hadi mita 2,484 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri