10°44′09″N 47°14′42″E / 10.73583°N 47.24500°E / 10.73583; 47.24500

Mahali pa Cal Madow kwenye ramani
Cal Madow.
Maporomoko ya maji ya Lamadaya
Kichwa cha mnyama mmojawapo.

Milima ya Cal Madow ni safu ya milima ya Somaliland (Somalia, Pembe ya Afrika) ambapo wanyama wengi wa pekee wa Afrika na dunia kwa jumla wanaishi.

Milima hii ni kati ya maeneo machache ya Somliland na Somalia kwa jumla penye misitu. Kimo chake kinafikia hadi mita 2,410 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Cal Madow kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.