Milima Outeniqua ni safu ya milima ya Afrika ya Kusini.

Njia za mlima Outeniqua

Urefu wake unafikia hadi mita 1,578 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri