Milima ya Upare
(Elekezwa kutoka Milima ya Pare)
Milima ya Upare iko kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro.
Inagawanyika katika milima ya Upare Kaskazini na milima ya Upare Kusini.
Kati ya milima yake kuna:
- mlima Bumbuli,
- mlima Kejanja,
- mlima Kinondo,
- mlima Kirangi,
- mlima Kolosoya,
- mlima Makungwini,
- mlima Makungwini Mashariki,
- mlima Taroti na
- mlima Umari.
Jina limetokana na kabila la Wapare ambao ndio wenyeji wa eneo hilo.
Kilele cha juu kiko mita 2,463 juu ya usawa wa bahari (Shengena Peak).
Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Upare kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |