Milima ya Poroto

Milima ya Poroto (Uporoto) iko kusini magharibi mwa Tanzania, kaskazini mwa Milima ya Kipengere[1].

Ni safu ya milima inayoelekea kusini mashariki kutoka bonde la mto Ruaha Mkuu kwa kufuata Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. MSN Encarta World Atlas[dead link]. Retrieved 19/9/07.

Coordinates: 9°00′S 33°45′E / 9.000°S 33.750°E / -9.000; 33.750