Miro wa Kuziko
Miro wa Kuziko (alifariki Kuziko, leo nchini Uturuki, 250 hivi) alikuwa padri aliyeteswa kikatili kwa sababu ya imani yake; hatimaye akakatwa kichwa kwa amri ya gavana Antipatro katika dhuluma ya kaisari Decius[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |