Misaeli mkaapweke (alifariki kabla ya mwaka 680) alikuwa mmonaki wa Misri

Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Desemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.