Mitra (kutoka Kigiriki: μίτρα, mitra, "kilemba"; kwa Kiingereza mitre au miter) ni kofia kubwa inayovaliwa na askofu, abati au mkleri fulani wakati wa ibada za Kanisa Katoliki, Makanisa ya Kiorthodoksi, Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki, Ushirika wa Anglikana na baadhi ya Walutheri.

Mitra ya Ukristo wa Mashariki.
Mitra ya Ukristo wa Magharibi.

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  •   "Mitre". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
  • Noonan, Jr., James-Charles (1996). The Church Visible: The Ceremonial Life and Protocol of the Roman Catholic Church. Viking. ku. 191. ISBN 0-670-86745-4.
  • Philippi, Dieter (2009). Sammlung Philippi - Kopfbedeckungen in Glaube, Religion und Spiritualität,. St. Benno Verlag, Leipzig. ISBN 978-3-7462-2800-6.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitra kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.