Ujauzito
(Elekezwa kutoka Mja mzito)
Ujauzito ni hali ya mja (yaani mtu, hususan mwanamke) kuwa mzito kutokana na mimba.
Hali hiyo kwa kawaida inadumu wiki 38 (miezi tisa hivi) ambapo mimba inazidi kukua na kukomaa ndani ya tumbo la uzazi la mama yake hadi wakati wa huyo kujifungua.
Ingawa katka lugha kadhaa yanatumika majina mbalimbali kwa mimba hiyohiyo kadiri muda wa kukua unavyozidi kwenda, hakuna badiliko la msingi wala hatua mpya, bali ni ustawi endelevu.
Miezi mitatu ya kwanza ndiyo yenye hatari zaidi ya mimba kuharibika.
Pengine mimba si moja bali mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hapo watazaliwa watoto pacha.
Marejeo
hariri- "Nutrition For The First Trimester Of Pregnancy". IDEA Health & Fitness Association. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Bothwell, TH (Julai 2000). "Iron requirements in pregnancy and strategies to meet them". The American journal of clinical nutrition. 72 (1 Suppl): 257S–264S. PMID 10871591.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - O'Brien, KO (Februari 2006). "Bone calcium turnover during pregnancy and lactation in women with low calcium diets is associated with calcium intake and circulating insulin-like growth factor 1 concentrations1". Am J Clin Nutr. 83 (2): 317–323. PMID 16469990.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Ujauzito katika Open Directory Project
- Merck Manual Home Health Handbook – further details on the diseases, disorders, etc., which may complicate pregnancy.
- Pregnancy care planner Ilihifadhiwa 25 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. – NHS guide to having baby including preconception, pregnancy, labor, and birth.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ujauzito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |