Mkazivae Unit (kwa jina halisi anaitwa Antony Makenzi; amezaliwa Nairobi, Kenya, 9 Desemba 1993) ni mmiliki wa Mkazivae Unit clothing line na blogu ya Mitego Sasa.

Mkazivae Unit
Jina la kuzaliwa Antony Makenzi
Amezaliwa Desemba 9 1994 (1994-12-09) (umri 30)
Asili yake Nairobi , Kenya
Kazi yake Mwandishi wa habari,Bloga
Miaka ya kazi 2015–mpaka sasa
Tovuti Tovuti Rasmi

Maisha na kazi

hariri

Antony Makenzi alianzisha blogu Mitego Sasa mwaka 2015 ambayo imemfanya akajulikane sana. Blogu hiyo ni maarufu Afrika Mashariki kwa mambo ya kitamaduni kama muziki na imesaidia vijana hasa kukuza vipaji vyao na kuibua vipaji vipya kwenye sekta ya muziki na burudani.

Masomo

hariri

Mkazivae Unit amesomea uandishi wa habari katika taasisi ya mawasiliano ya Kenya KIMC mjini Nairobi South B na kuhitimu kwa stashahada - diploma ya Broadcast Journalist mwaka 2016

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri