Mkoa wa Balıkesir

Balıkesir ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki. Mkoa una mistari ya pwani mbili, ambao ni Bahari ya Marmara na Aegean. Mikoa inayopakana na mkoa huuu ni pamoja na Çanakkale kwa upande wa magharibi, İzmir kusini-magharibi, Manisa kwa upande a kusini, Kütahya kwa upande wa kusini-mashariki, na Bursa kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Balıkesir.

Mkoa wa Balıkesir
Maeneo ya Mkoa wa Balıkesir nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 12.496 (km²)
Kodi ya Leseni: 10
Kodi ya eneo: 00266*******
Tovuti ya Gavana http://www.balıkesir.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/balıkesir

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Balıkesir umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Balıkesir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.