Mkoa wa Gbôklé
Mkoa wa Gbôklé (kwa Kifaransa: Région du Gbôklé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Mkoa wa Gbôklé | |
Mahali pa Mkoa wa Gbôklé katika Cote d'Ivoire |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Serikali[1] | |
- Prefect | Boni Koffi Ernest |
- Rais wa Baraza | Legre Dakpa Philippe |
Eneo[2] | |
- Jumla | 7,225 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 400,798 |
GMT | (UTC+0) |
Uko katika Kusini Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Sassandra. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 400,798.
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Gbôklé" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gbôklé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |