Mkoa wa Kars


Kars ni jina la mkoa (Kituruki: il) wa Uturukiy. Upo katika sehemu ya kaskazini mashariki ya nchi. Unatumia pamoja sehemu ya mpaka wake na nchi ya Jamhuri ya Armenia.

Flag of Turkey.svg Mkoa wa Kars
Maeneo ya Mkoa wa Kars nchini Uturuki
Kars districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 9,587 (km²)
Idadi ya Wakazi 287,106 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 36
Kodi ya eneo: 0474
Tovuti ya Gavana http://www.kars.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kars

Wilaya za mkaoni hapaEdit

Mkoa wa Kars umegawanyika katika wilaya 8 (ilçe):

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.