Mkoa wa Manica

Manica ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Chimoio.

Manica
Nchi Bendera ya Msumbiji Msumbiji
Mji mkuu Chimoio
Eneo
 - Mkoa 61,661 km²

WilayaEdit

Tazama piaEdit


 
Mikoa ya Msumbiji
 
Cabo Delgado | Gaza | Inhambane | Manica | Maputo Mjini | Maputo | Nampula | Niassa | Sofala | Tete | Zambezia
  Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Manica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.