Mkoa wa Maputo
mkoa wa Msumbiji
Maputo ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Matola.
Mkoa wa Maputo | |
Nchi | Msumbiji |
---|---|
Mji mkuu | Matola |
Eneo | |
- Jumla | 26,058 km² |
Wilaya
hariri- Wilaya ya Boane
- Wilaya ya Magude
- Wilaya ya Manhiça
- Wilaya ya Marracuene
- Wilaya ya Moamba
- Wilaya ya Namaacha
- Wilaya ya Matutuine
na miji ya:
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maputo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |