Maputo
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Maputo Mjini)
Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.
Jiji la Maputo | |
Mahali pa Jiji la Maputo katika Msumbiji |
|
Majiranukta: 25°58′00″S 32°35′00″E / 25.96667°S 32.58333°E | |
Nchi | Msumbiji |
---|---|
Mkoa | Maputo Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,200,000 |
Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.
Viungo vya nje
hariri- [http://web.archive.org/20200821153639/http://maputo.visitusinmaputo.com/ Ilihifadhiwa 21 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine. Utalii Maputo Kin]
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maputo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |