Mkoa wa Nevşehir
Nevşehir ni jina la mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni Nevşehir. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kırşehir upande wa kaskazini-magharibi, Aksaray kwa upande wa kusini-magharibi, Niğde kwa upande wa kusini, Kayseri kwa upande wa kusini-mashariki, na Yozgat kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi.
Mkoa wa Nevşehir | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Nevşehir nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 5,467 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 310,344 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 50 |
Kodi ya eneo: | 0384 |
Tovuti ya Gavana | http://www.nevşehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/nevşehir |
Wilaya za mkaoni hapa
haririMkoa wa Nevşehir umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- Nevşehir Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 26 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nevşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |