Siirt (Kikurdi: Sêrt, Kiarabu: سعرد) ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Upo mjini kusini-mashariki mwa nchi. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Bitlis kwa upande wa kaskazini, Batman kwa upande wa magharibi, Mardin kwa upande wa kusini-magharibi, Şırnak kwa upande wa kusini, na Van kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,406 na jumla ya wakazi 266,159.

Muonekano wa Mazingira Mkoa wa Siirt
Mkoa wa Siirt
Maeneo ya Mkoa wa Siirt nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 5,406 (km²)
Idadi ya Wakazi 266,159 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 56
Kodi ya eneo: 0486
Tovuti ya Gavana http://www.siirt.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/siirt

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Siirt umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Siirt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.