Mkunga Umeme
Mkunga-umeme katika Hifadhi ya Samaki ya New England, Marekani
Mkunga-umeme katika Hifadhi ya Samaki ya New England, Marekani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Actinopterygii (Samaki walio na mapezi yenye tindi)
Oda: Gymnotiformes
Familia: Gymnotidae
Jenasi: Electrophorus
Gill, 1864
Ngazi za chini

Spishi 4:

Mkunga-umeme ni samaki wa Amerika ya Kusini anayetoa mishtuko ya umeme. Hadi 2019, iliainishwa kama spishi pekee katika jenasi yake[1]. Licha ya jina, si mkunga wa kawaida (oda Anguilliformes), bali ni samaki-kisu (familia Gymnotidae).

Marejeo

hariri
  1. de Santana, C. David; Crampton, William G. R. (2019-09-10). "Unexpected species diversity in electric eels with a description of the strongest living bioelectricity generator" (PDF). Nature Communications. 10 (1): 4000. Bibcode:2019NatCo..10.4000D. doi:10.1038/s41467-019-11690-z. PMC 6736962. PMID 31506444. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-09-10. Iliwekwa mnamo 2019-09-10.
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkunga-umeme kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.