Mkuruti
Mkuruti (Baphia spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkuruti wa Natal
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 48, 15 katika Afrika ya Mashariki:
|
Mikuruti (Baphia spp.) ni miti ya familia Fabaceae. Inatokea Afrika kusini kwa Sahara tu na spishi nyingi zinakua katika misitu ya mvua. Ubao hupendwa sana kwa kutengeneza vitu vidogo, k.m. mipini ya visu. Hutumika pia kwa kutengeneza rangi nyekundu.
Spishi za Afrika ya Mashariki
hariri- Baphia abyssinica, Mkuruti Habeshi
- Baphia bequaertii
- Baphia burttii
- Baphia capparidifolia
- Baphia cordifolia
- Baphia kirkii, Mkuruti Pwani
- Baphia longipedicellata
- Baphia l. keniensis, Mkuruti wa Kenya
- Baphia macrocalyx
- Baphia marceliana
- Baphia massaiensis, Mhingiri au Mkuruti Masai
- Baphia pauloi, Mkuruti wa Kimboza
- Baphia puguensis, Mkuruti wa Pugu
- Baphia punctulata
- Baphia semseiana, Mkuruti wa Ifakara
- Baphia wollastonii
Picha
hariri-
Majani ya Baphia nitida
-
Maua ya Baphia nitida
-
Ua la Baphia nitida
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkuruti kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |