Mlima Kulal unapatikana katika kaunti ya Marsabit, kaskazini mwa Kenya, kusini mashariki kwa ziwa Turkana, ukiwa na kimo wa mita 2,285 juu ya usawa wa bahari [1].

Picha inayoonyesha Mlima wa Kulal.

Kwa asili ni volikano.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Africa Ultra-Prominences Peaklist.org. Retrieved 2012-01-30.

Viungo vya nje hariri

02°43′45″N 36°55′24″E / 2.72917°N 36.92333°E / 2.72917; 36.92333