Mlima Marsabit ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 1,707 juu ya UB.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri