Namarunu

(Elekezwa kutoka Mlima Namarunu)

Mlima Namarunu ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 817 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana. [1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Woolley 2001, p. 108-109.