Mlima Paget ni mlima mrefu kuliko yote ya South Georgia na wa maeneo yote yaliyo chini ya Ufalme wa Muungano.

Mlima Paget

Uko kusini mwa bahari ya Atlantiki, katika Visiwa vya South Georgia na South Sandwich.

Una urefu wa mita 2,935.

Marejeo

hariri


Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.