Mlima Pico

Mlima Pico ni mlima mrefu kuliko yote ya funguvisiwa la Azori, katika bahari ya Atlantiki.

Mlima Pico

Ni volkeno hai ambayo iko katika kisiwa cha Pico.

Ina urefu wa mita 2,351, hivyo inazidi milima yote ya Ureno..

MarejeoEdit


Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Pico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.