Mlima Rinjani ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 3,726 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Rinjani ulipolipuka mwaka 1994.

Uko Indonesia katika kisiwa cha Lombok.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Rinjani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.