Kipimanjia
(Elekezwa kutoka Mnaana)
Kipimanjia | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 2
|
Vipimanjia au minaana ni ndege wadogo wa jenasi Anthus na Madanga katika familia ya Motacillidae. Zamani jenasi Madanga iliainishwa katika familia Zosteropidae (vinengenenge).
Ndege hawa wana rangi za kamafleji: nyeupe au njano chini na kijivu au kahawia juu. Makucha yao ya nyuma ni marefu kuliko yale ya matikisa. Takriban spishi zote hupatikana ardhini. Hula wadudu hasa na mbegu pia. Tago lao ni kikombe cha manyasi ardhini na jike huyataga mayai 2-6.
Spishi za Afrika
hariri- Anthus berthelotii, Kipimanjia wa Berthelot (Berthelot's Pipit)
- Anthus brachyurus, Kipimanjia Mkia-mfupi (Short-tailed Pipit)
- Anthus caffer, Kipimanjia Mdogo (Bushveld au Little Pipit)
- Anthus campestris, Kipimanjia Hudhurungi (Tawny Pipit)
- Anthus cervinus, Kipimanjia Koo-jekundu (Red-throated Pipit)
- Anthus chloris, Kipimanjia Koo-njano (Yellow-breasted Pipit)
- Anthus cinnamomeus, Kipimanjia-mbuga (African, Grassland au Grassveld Pipit)
- Anthus crenatus, Kipimanjia-mawe (African Rock au Yellow-tufted Pipit)
- Anthus hoeschi, Kipimanjia-milima (Mountain Pipit)
- Anthus latistriatus, Kipimanjia wa Jackson (Jackson's Pipit)
- Anthus leucophrys, Kipimanjia Nyusi-nyeupe (Plain-backed Pipit)
- Anthus lineiventris, Kipimanjia Tumbo-michirizi (Striped Pipit)
- Anthus longicaudatus, Kipimanjia Mkia-mrefu (Long-tailed Pipit)
- Anthus melindae, Kipimanjia wa Malindi (Malindi Pipit)
- Anthus nyassae, Kipimanjia-mwitu (Wood au Woodland Pipit)
- Anthus pallidiventris, Kipimanjia Miguu-mirefu (Long-legged Pipit)
- Anthus pratensis, Kipimanjia wa Ulaya (Meadow Pipit)
- Anthus pseudosimilis, Kipimanjia wa Kimberley (Kimberley Pipit)
- Anthus similis, Kipimanjia Domo-refu (Long-billed Pipit)
- Anthus sokokensis, Kipimanjia wa Sokoke (Sokoke Pipit)
- Anthus spinoletta, Kipimanjia-bwawa (Water Pipit)
- Anthus trivialis, Kipimanjia Mpendamiti (Tree Pipit)
- Anthus vaalensis, Kipimanjia Kijivucheupe (Buffy Pipit)
Spishi za mabara mengine
hariri- Anthus antarcticus (South Georgia Pipit)
- Anthus australis (Australian Pipit)
- Anthus bogotensis (Paramo Pipit)
- Anthus chacoensis (Pampas au Chaco Pipit)
- Anthus correndera (Correndera Pipit)
- Anthus furcatus (Short-billed Pipit)
- Anthus godlewskii (Blyth's Pipit)
- Anthus gustavi (Pechora Pipit)
- Anthus gutturalis (Alpine au New Guinea Pipit)
- Anthus hellmayri (Hellmayr's Pipit)
- Anthus hodgsoni (Olive-backed Pipit)
- Anthus lutescens (Yellowish Pipit)
- Anthus nattereri (Ochre-breasted Pipit)
- Anthus nilghiriensis (Nilgiri Pipit)
- Anthus novaeseelandiae (New Zealand Pipit)
- Anthus petrosus (Eurasian Rock Pipit)
- Anthus richardi (Richard's Pipit)
- Anthus roseatus (Rosy Pipit)
- Anthus rubescens (Buff-bellied Pipit)
- Anthus rufulus (Paddyfield Pipit)
- Anthus spragueii (Sprague's Pipit)
- Anthus sylvanus (Upland Pipit)
- Madanga ruficollis (Madanga)
Picha
hariri-
Kipimanjia wa Berthelot
-
Kipimanjia mkia-mfupi
-
Kipimanjia mdogo
-
Kipimanjia hudhurungi
-
Kipimanjia koo-jekundu
-
Kipimanjia mbuga
-
Kipimanjia-milima
-
Kipimanjia nyusi-nyeupe
-
Kipimanjia tumbo-michirizi
-
Kipimanjia wa Malindi
-
Kipimanjia-mwitu
-
Kipimanjia wa Ulaya
-
Kipimanjia domo-refu
-
Kipimanjia wa Sokoke
-
Kipimanjia-bwawa
-
Kipimanjia mpendamiti
-
Kipimanjia kijivucheupe
-
South Georgia pipit
-
Australian pipit
-
Correndera pipit
-
Short-billed pipit
-
Blyth's pipit
-
Pechora pipit
-
Hellmayr's pipit
-
Olive-backed pipit
-
Yellowish pipit
-
Ochre-breasted pipit
-
Nilgiri pipit
-
Australasian pipit
-
Eurasian rock pipit
-
Richard's pipit
-
Rosy pipit
-
Buff-bellied pipit
-
Paddyfield pipit
-
Sprague's pipit
-
Upland pipit
-
Madanga