Mnadhiri
Mnadhiri (kutoka Kiebrania נזיר, nazir, maana yake "aliyewekwa wakfu" au "aliyetengwa"[1][2]) katika Biblia ni mtu mwenye nadhiri iliyoratibiwa na Hes 6:1–21.
Humo tunasikia masharti ya nadhiri:
- Kuepa aina zote za vileo,[3] ikiwa pamoja na siki,[4] na hata kumeza chochote chenye sehemu za zabibu.[5]
- Kutonyoa kabisa.[6]
- Kutotiwa unajisi kwa kugusa maiti, hata kama ni kwa kushiriki mazishi ya ndugu.[7]
Kati ya wanadhiri wa kudumu walio maarufu zaidi kuna Samsoni na Yohane Mbatizaji.
Tanbihi
hariri- ↑ Alternatively "crowned", see Abraham ibn Ezra's biblical commentary
- ↑ In Modern Hebrew the word "nazir" is commonly used for monks, both Christian and Buddhist – this meaning having largely displaced the original Biblical meaning.
- ↑ The New JPS translation is: "wine and any other intoxicant". Classical Rabbinical interpretation permits non-grape alcohols.
- ↑ Hesabu 6:3
- ↑ Hesabu 6:3-4
- ↑ Hesabu 6:5
- ↑ Hesabu 6:6-7
Marejeo
hariri- See: Chepey, S. Nazirites in Late Second Temple Judaism: A Survey of Ancient Jewish Writings, the New Testament, Archaeological Evidence, and other Writings from Late Antiquity. AJEC 60. Leiden: Brill Academic Publishers, 2005.
Viungo vya nje
hariri- Nazarite in the 1906 Jewish Encyclopedia
- Nazarite in the 1913 Catholic Encyclopedia
- Nazarite Archived 20 Januari 2008 at the Wayback Machine. in the 1911 Encyclopædia Britannica
- Full text of the Mishna nazir Archived 6 Januari 2016 at the Wayback Machine. and Mishneh Torah nazir Archived 22 Julai 2020 at the Wayback Machine. at Machon Mamre.
- Book, Title – Hebrew Bible and ancient versions: selected essays of Robert P. Gordon, Chapter 6 Title – Who Made The Kingmaker? Reflect On Samule And The Institution Of The Monarchy; Terms- Nazirite, etymology: p. 65, p. 66 and etymology select pages
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnadhiri kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |