Mnjugu
(Arachis hypogaea)
Mnjugu katika kichungu
Mnjugu katika kichungu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae (Mimea inayofanana na mharagwe)
Jenasi: Arachis
L.
Spishi: A. hypogaea
L.

Mnjugu (Arachis hypogaea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaozaa njugu (pia karanga), mbegu zake ambazo zipo mbili mbili (pengine moja) ndani ya makaka. Tofauti na makaka ya kawaida vikonyo vya yale ya mnjugu huingia ardhini na makaka yanaendelea chini.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnjugu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.