Moderaterna

Moderata samlingspartiet (au kwa kifupi "Moderaterna") ni chama cha siasa nchini Uswidi.

"Nya Moderaterna"

HistoriaEdit

Chama cha Moderaterna kilianzishwa mwaka wa 1904 chini ya jina "Allmänna valmansförbundet".

Waziri wakuu kutoka ModeraternaEdit

 
Fredrik Reinfeldt 2013.

Asilimia za Moderaterna katika kura ya kitaifa ya UswidiEdit


ItikadiEdit

Moderaterna husogeza siasa ya uchumi wa soko na ubepari.

Viungo vya NjeEdit