Mohamed Abdallah Golo
Mchezaji mpira wa zamani wa Tanzania
Mohamed Abdallah Golo (alizaliwa 14 Mei 1976) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Tanzania. ambaye alicheza kama mshambuliaji.[1]
Mohamed Abdallah Golo | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 14 Mei 1976 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tanzania | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Alichezea timu mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar katika mashindano ya Ligi kuu Tanzania bara na Ligi Kuu ya Zanzibar, ikiwa ni pamoja na Mlandege FC, Miembeni FC na Young Africans fc.
Pia alishiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Zanzibar.[2]
Marejeo
hariri- ↑ [1] at National-Football-Teams.com
- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "Mohamed Abdallah Golo (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Abdallah Golo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |